29 Novemba Yaliyomo Matukio | Waliozaliwa | Waliofariki | Sikukuu | Viungo vya nje | UrambazajiNovemba 29BBC: On This DayToday in Canadian Historykuihariri na kuongeza habari
Mbegu za historiaNovemba
sikumwakaWakristomapokeo ya RomakumbukumbumtakatifuFransisko Antoni Fasanipadri
29 Novemba
Jump to navigation
Jump to search
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 29 Novemba ni siku ya 333 ya mwaka (ya 334 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 32.
Yaliyomo
1 Matukio
2 Waliozaliwa
3 Waliofariki
4 Sikukuu
5 Viungo vya nje
Matukio |
Waliozaliwa |
968 - Kazan, mfalme mkuu wa Japani (984-986)
1874 - Antonio Egas Moniz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1949
1915 - Billy Strayhorn, mwanamuziki wa Marekani
1930 - David Goldblatt, mpigapicha wa Afrika Kusini
1979 - Game, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki |
1577 - Mtakatifu Cuthbert Mayne, padri mfiadini kutoka Uingereza
1268 - Papa Klementi IV
1742 - Mtakatifu Fransisko Antoni Fasani, padri wa shirika la Ndugu Wadogo Wakonventuali kutoka Italia
1924 - Giacomo Puccini, mtunzi wa opera kutoka Italia
2008 - Jørn Utzon, msanifu majengo kutoka Denmark
2014 - Mark Strand, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu ya mtakatifu Fransisko Antoni Fasani, padri
Viungo vya nje |
- BBC: On This Day
- Today in Canadian History
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Jamii:
- Mbegu za historia
- Novemba
(RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgPageParseReport":"limitreport":"cputime":"0.036","walltime":"0.055","ppvisitednodes":"value":87,"limit":1000000,"ppgeneratednodes":"value":0,"limit":1500000,"postexpandincludesize":"value":2091,"limit":2097152,"templateargumentsize":"value":21,"limit":2097152,"expansiondepth":"value":4,"limit":40,"expensivefunctioncount":"value":0,"limit":500,"unstrip-depth":"value":0,"limit":20,"unstrip-size":"value":0,"limit":5000000,"entityaccesscount":"value":0,"limit":400,"timingprofile":["100.00% 12.389 1 -total"," 38.91% 4.820 1 Kigezo:Novemba"," 31.33% 3.881 1 Kigezo:Commons"," 26.43% 3.274 1 Kigezo:Mbegu-historia"],"cachereport":"origin":"mw1270","timestamp":"20191124203936","ttl":2592000,"transientcontent":false););"@context":"https://schema.org","@type":"Article","name":"29 Novemba","url":"https://sw.wikipedia.org/wiki/29_Novemba","sameAs":"http://www.wikidata.org/entity/Q3016","mainEntity":"http://www.wikidata.org/entity/Q3016","author":"@type":"Organization","name":"Uchangiaji katika miradi ya Wikimedia","publisher":"@type":"Organization","name":"Wikimedia Foundation, Inc.","logo":"@type":"ImageObject","url":"https://www.wikimedia.org/static/images/wmf-hor-googpub.png","datePublished":"2006-09-06T14:32:05Z","dateModified":"2017-10-14T06:28:42Z","headline":"tarehe"(RLQ=window.RLQ||[]).push(function()mw.config.set("wgBackendResponseTime":117,"wgHostname":"mw1258"););